TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday 25 September 2011

Kiongozi wa CUF Igunga aliyepokea kichapo


Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Julius Mtatiro akiwa hospitalini pamoja na Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya wilaya ya Igunga, wakimuangalia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CUF Kijiji cha Iyogelo, kiongozi huyo alilazwa hospitalini hapo baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM waliokuwa na kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa UVCCM Martin Shigela.

No comments:

Post a Comment