TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday 25 September 2011

Naomba mtuunge mkono bado tunaweza


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Philip Mangula akihutubia baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mwanmasunga Kata ya Igunga wilayani Igunga mkoani Tabora, Magula yupo jimboni humo kufanya mikutano ya kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Igunga CCM Dk. Peter Kafumu, uchaguzi mdogo katika jimbo jilo  unatarajia kufanyika Oktoba 2, Mwaka huu.   

No comments:

Post a Comment