TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday 25 September 2011

Mwandishi wa Dira ya Mtanzania aliyepokea kichapo Igunga

 Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Dira ya Mtanzania Mussa Mkama anayedaiwa kupigwa na walinzi wa CCM katika Hoteli waliyofikia viongozi wa Chama hicho mjini Igunga. Mwandishi huyo alikwenda hotelini hapo kufanya mahojiano na Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya na mara baada ya kumaliza mahojiano akiwa anatoa hotelini hapo alikumbana na kisanga cha kupigwa na walinzi wa CCM.



No comments:

Post a Comment