TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday 13 October 2010

Mwenda afiwa na dada yake mpendwa Monica

Na Mwandishi Wetu

MWANABLOG Peter Mwenda amepatwa na msiba wa kufiwa na dada yake Monica Mgonella (53)aliyefariki katika hospitali ya Muhimbili (MNH) alikolazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari Oktoba 9,2010.
Msiba huo umempata ikiwa na wiki moja baada ya kupata msiba mwingine wa mkwewe (mume wa mtoto wa marehemu aitwaye Noel Wanna (40) aliyekuwa askari wa Jeshi la polisi aliyefariki ghafla kwa shindikizo la damu na kusafirishwa kwa ndege kuzikwa Mwanza.
Marehemu Monica ameacha watoto saba na wajukuu 14 alizikwa katika makaburi ya Chang'ombe.Familia yake ilimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.Amen

No comments:

Post a Comment