TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday 30 July 2015

Kampuni ya Business Connexion yahamasisha kuhusu fursa zilizopo


Kampuni ya Business Connexion yahamasisha kuhusu fursa zilizopo

 

DAR ES SALAAM, Tanzania, July 28, 2015/ -- Tanzania ina fursa nyingi ambazo bado hazijatumika. Kwa mujibu wa Benki ya Dunia.

 Uchumi unategemewa kukua kwa wastani wa asilimia7.2 mwaka huu na uwekezaji wa serikali kwa kiasi kikubwa katika mkongo wa taifa unaongeza biashara na upatikanaji wa teknolojia kwa raia ili kujenga fursa za kusonga mbele kwenye teknolojia zetu. Pamoja na kuibuka kwa teknolojia nyingi zisizokuwa na mpangilio.

Hatua hii imewekwa kwa ajili ya kuongezeka kwa fursa nyingi. Haya ni maoni ya Jane Canny, Afisa Uendeshaji Mkuu katika Kampuni la Business Connexion (http://www.bcx.co.za).

 

No comments:

Post a Comment