TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday 29 July 2015

Lowassa ajiunga rasmi CHADEMA

Na Mwandishi Wetu

TANZANIA jana ilikumbwa na hofu ya kisiasa baada ya mgombea urais kipenzi cha wanachamawa CCM aliyekatwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais Julai mwaka huu, Edward Lowassa kujiunga CHADEMA.

Wafuasi wa Lowassa ambao katika kipindi cha wiki mbili walikuwa kimya kumsikiliza Lowassa akama anabaki CCM au anakihama chamahicho jana walipata jibu na wengine wanatafakari kubakichama tawalaau kumfuata mgombea wao aliyehamia upinzani.


No comments:

Post a Comment