TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Friday 26 June 2015

Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui (kulia) akikabidhiwa suti ya michezo yenye bendera ya Tanzania kutoka Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally atakazozitumia wakati akifubndisha riadha nchini Bunei barani Asia ambako amepata mkataba wa kufundisha riadha kwa miaka miwili.(Peter Mwenda).


No comments:

Post a Comment