Waumini wa Kitunda tunakutakia utumishi mwema Padre Slaa
Viongozi wa Walei Kanisa Katoliki Parokia ya Kitunda, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na Paroko Msaidizi, Israel Slaa wa pili kulia katika sherehe ya kumuaga anahamia Parokia ya Magoni (kulia) ni Mwenyekii Dkt.Daud Chacha, Katibu, Bw Saimon Nguka na Katibu Msaidiz Bi Magreth Maregesi
No comments:
Post a Comment