Waumini wakaoliki Kitunda wamuaga Padre Slaa
Hawa ni viongozi wa Kamati Tendaji ya Kanisa Katoliki Parokia ya Kitunda Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja katika hafla ya kumuaga Paroko Msaidizi, Israel Slaa wa nne kushoto aliyesimama aliyehamishwa kwenda Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda Magomeni.
No comments:
Post a Comment