TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 29 July 2013

M
Paroko Msaidizi Israel Slaa wa nne kutoka kulia akiwa na viongozi wa Kigango cha Mwanagati cha kanisa Katoliki Parokia ya Kitunda katika sherehe fupi ya kumuaga baada ya kupewa uhamisho kwenda kushika wadhifa huo kwenye Parokia ya Magomeni Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Mweka Hazina, Bw. Benard Kineghe, Katibu Msaidizi Bi. Skita Mkude, Mwenyekiti Bw. Joseph Lukensa, Katibu Bw. Patick Mutalemwa na Makamu Mwenyekiti Bw. Damian Nyambarika.

No comments:

Post a Comment