Mratibu watu wenye elemavu wa ngozi ( albino) mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Theresia Januari (kulia) akiandika maazimio kwenye warsha ya wiki moja iliyomalizika Jumapili ya kujengewa uwezo wa kuanzisha miradi ya kujitegemea na utunzaji wa fedha iliyofadhiliwa na Asasi ya The Foundation for Civil Society (Picha na Peter Mwenda).
No comments:
Post a Comment