TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 27 January 2013

Bw. Said Ndonge akiwasilisha mrejesho wa warsha ya mpango mkakati wa kujengewa uwezo kwa albino juu ya uanzishaji wa miradi ya kujitegemea iliyofadhiliwa na The Foundation for Civil Society na kufanyika Dar es Salaam kwa siku tano.

No comments:

Post a Comment