Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania wanaishi Nchini Botswana leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia na Waziri
wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika kwa mkutano wa
siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu kwa
nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone. Botswana leo jioni.
Mke
wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamojan a
Watanzania wanaoishi nchini Botswana baada ya kuzungumza na Watanzania
hao leo jioni mjini Gaborone Botswana.
No comments:
Post a Comment