Washiriki walioingia kwenye tano Bora.
Mshindi
wa Redd's Miss IFM 2012,Fina Revocatus (katikati) akiwa na Mshindi wa
Pili,Jane Augustino (kushoto) na wa Tatu Theresia Issaya muda mfupi
baada ya kumalizika kwa shindano lao hilo lililofanyika usiku wa kuamkia
leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Jijini Dar.
Msanii
wa Muziki wa Bongo Fleva,Diamond akifanya vitu vyake wakati wa onyesho
hilo la urembo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa
Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Jijini Dar.



No comments:
Post a Comment