TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 13 March 2012

Uhusiano wa zamani kati ya Tanzania na Mexico warudi tena

Huyu ndiye Balozi mdogo wa kwanza wa Mexico nchini Tanzania Bw. Mohammad Reza akipongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe kushoto ni Balozi wa Mexico kwa nchi za Afrika Mashariki.Balozi mpya Reza ni mtanzania.

No comments:

Post a Comment