TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday 14 March 2012

TPSF yaendesha semina ya Badilika Kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bw. Godfrey Sembeye (katikati) akiagana na Meneja Mradi wa Kubadilika Kibiashara Bw. Sosthenes Sambua (kulia) baada ya kufungua semina ya siku mbili ya klabu za wafanyabiashara ndogondogo kutoka mikoa ya Tanzania. Kushoto ni Bw.Gilliard Nkini.

No comments:

Post a Comment