TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday, 14 March 2012

JB Real Estate kujenga nyumba za kupangisha Dar

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JB Real Estate ambaye anamiliki kampuni za JB Real Belmont Hotel, JB Attire, JB Exclusive, JB TOYLAND ambazo zote chini ya JB Hospitality Ltd Bw. Justus Baguma akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kampuni yake kujenga nyumba za kupangisha wananchi kwa bei nafuu eneo la Kigamboni baada ya kukamilika daraja la kisasa.

No comments:

Post a Comment