TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 8 November 2011

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori wa Wizara ya Maliasi na Utalii, Bi. Nebbo Mwina (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa kupambana na ujangili kwa nchi wanachama(kushoto) ni Mkurugenzi wa Kikosikazi wa mkataba wa Lusaka Bw. Bonaventure Ebayi (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment