TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 27 October 2011

Meneja wa Mpango wa Damu Salama Tanzania, Bw. Efesper Nkya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu upungufu wa damu unaokabili mradi huo kwa ajili ya kuokoa maisha ya watanzania wanohitaji kuongezewa damu katika hospitali mbalimbali nchini (kushoto) ni ofisa uhusiano wa Mpango wa Damu Salama Bw. Rajab Mwenda (Picha na Peter Mwenda).

No comments:

Post a Comment