Mbunge wa Chinolwa , Dodoma Bw. Ezekia Chibulunje Kushoto) aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) katika kikao cha jana kilichopitisha kwa mbinde hesabu za Idara ya Magereza kulia ni Bw. John Cheyo ambaye ni Mwenyekiti wa kamati hiyo.
No comments:
Post a Comment