Trafiki wakimkwida mpiga picha wa majira, Bw. Nyakasagani Masenza (aliyekaa chini) huku wakimpigaa kwa madai ya kutanua barabarani eneo la Vingunguti akienda kazini kwake leo asubuhi. Mpiga picha huyo alifikishwa mahakamani na kupelekwa mahabusu ya Segerea.(Picha na Prona Mumwi).
No comments:
Post a Comment