Mpiga picha wa majira, Bw. Nyakasagani Masenza wa kwanza aliyekaa kwenye Defender akilindwa na trafiki zaidi ya nane akipelekwa kituo kikuu cha Trafiki Central kwa madai ya kutanua barabara ambako aliandikiwa mashtaka na kupelekwa haraka haraka mahakamani.(Picha na Prona Mumwi wa Majira).
No comments:
Post a Comment