Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Haruna Masebu akifafanua jambo mbele ya waadhinshi wa habari kuhusu bei elekezi za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa jana, kulia ni Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Bw. Titus Kaguo (Picha na Richard Mwaikenda)
No comments:
Post a Comment