TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 16 August 2011

Blessing Ngowi, Mshiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, akiwa amejivisha nyoka shingoni huku wenzake wakimwangalia wakati warembo hao walipotembelea eneo la Snake Park mkoani Arusha jana. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kutembelea kaburi la Waziri Mkuu wa Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine. (Picha na Full Shangwe).

No comments:

Post a Comment