TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 16 August 2011

Miaka 50 ya Uhuru Mnazi Mmoja

Ofisa habari wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bi. Lucy Semindu akionesha khanga zilizotengenezwa kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Uhuru kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.Mkoa wa Dar es Salaam jana ilifunga maadhimisho hayo (Picha na Peter Mwenda).

No comments:

Post a Comment