TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 25 July 2011

Pole mama Mwakiteleko haya ni mapenzi ya Mungu

Waziri Mkuu mstaafu Bw. Edward Lowassa akimpa pole mke wa marehemu Danny Mwakiteleko nyumbani kwake siku moja kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Mwakaleli Tukuyu Mbeya kwa maziko.

No comments:

Post a Comment