TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 21 July 2011

Mpango wa kujenga hospitali nyingine ya rufaa Ilala upo pale pale

Na Mwandishi Wetu

MPANGO wa kujenga hospitali ya rufaa itakayosaidia hospitali ya Amana Ilala upo pale pale na kinachosubiriwa na kupatikana fedha za ujenzi.

Ofisa Habari wa Manispaa ya Ilala,Bi. Tabu Shaibu akizungumza na majira jana alisema hospitali hiyo itaanza kujengwa baada ya fedha zinazohitajika kupatikana.

"Fedha za ujenzi wa hopitali hiyo ni nyingi, huo ni mradu mkubwa hivyo inabidi zikusanywe kidogo kidogo mpaka zitakapotimia na kuanza ujenzi"alisema Bi. Tabu

Hospitali mbadala ya Amana katika Manispaa ya Ilala itajengwakatika Kata ya Kivule na Msongola ambayo inatarajia kuhudumia wagonjwa wengi.

mwishi

No comments:

Post a Comment