TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Friday, 8 July 2011

Ibada ya kumuombea Mwakabana Jumapili

Na Mwandishi Wetu

WASANII nchini watakuwa na ibada ya kumuombea Naibu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wasanii Tanzania (SHIWATA), Alex Mwakabana aliyefariki wiki iliyopita na kuzikwa ntyumbani kwao Mbeya.

Mwenyekiti wa SHIWATA,  Caasim Taalib alisema jana kuwa ibada hiyo itakayongozwa na wachungaji na mashekhe itaanza saa 3 asubuhi katika ukumbi wa Splendid, Bungoni.

Marehemu Mwakabana (50) alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa Kisukari. Marehemu ameacha mke na mtoto mmoja. Amen.

mwisho

No comments:

Post a Comment