Wenye UKIMWI walikwenda kwa Babu wasiache ARVs Dkt. Kalinga
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Sera wa Tume ya UKIMWI, Dkt. Kalinga amewataka waathirika wa UKIMWI wanaokwenda kunywa dawa kwa babu wa Liliondo wasiache kutumia dawa za kuongeza maisha za ARVs.
No comments:
Post a Comment