TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 15 March 2011

Hiki ndicho kikosi cha wachezaji Veterani waliotamba miaka ya zamani katika Soka eneo la Keko Mwanga, Dar es Salaam wakiunda kikosi cha Kwemwadefo wakisalimiana na mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu.


No comments:

Post a Comment