TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 30 December 2010

Mchezaji wa timu ya vijana chini ya miaka 20 wa timu ya Mpira Kipaji akipokea mpira kutoka kwa Mkurugenzi wa Keko Mwanga Development Foundation (KEMWADEFO), Bw. Francis Juluis wa ajili ya timu yake kuajiandaa na kombe la Kizoka litakaloanza Januari 15 mwakani.

No comments:

Post a Comment