Hawa ndiyo waanzilishi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Keko Mwanga Development Foundation (KEMWADEFO) kutoka kushoto ni Katibu Peter Mwenda, Matata Dikimile (mjumbe) ,Bw. Richard Butiku (mjumbe), Agha Peter (mjumbe), Bw. Francis Julius (Mkurugenzi) Henry Nindi (Mwenmyekiti) na Bw. Charles Katumba (mjumbe) Bw. Hendrick Matifali (Tutu) hayupo pichani.
No comments:
Post a Comment