TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 30 December 2010

Mkurugenzi wa Taasisi ya Keko Mwanga Development Foundation (KEMWADEFO) Bw. Francis Julius (aliyesimama)akitoa nasaha kwa wachezaji na wadau wa soka wa Keko Mwanga mikakati ya taasisi hiyo katika kusaidia jamii hiyo kujikinga na ulevi, ukahaba na uhalifu.

No comments:

Post a Comment