TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 13 December 2010

DKT REMMY ONGALA hatunaye tena, Ramadhan Mtoro Ongala ameaga dunia usiku wa kuamkia jana jijini Dar, alizaliwa miaka 63 iliyopita katika mkoa wa Kivu,Jamhuri ya Demokrasia ya Congo. 

Dkt. Remmy atakumbukwa na watanzania na wanamuziki wenzake kwa mchango mkubwa aliowahi kuutoa katika kutunga na kuimba nyimbo zenye kuelimisha jamii

No comments:

Post a Comment