TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 31 August 2010

Mkokoteni unapoelemewa mzigo jijini Dar na kusababisha foleni kubwa

Jiji la Dar es Salaam limekuwa na msongamano mkubwa wa magari na kugeuka kero kutumia usafiri huo,kuna njia nyingi za kusaidia kupunguza msongamano ikiwemo kubadilisha mfumo wa wabeba mizigo katika mitaa ya Kariakoo na Kisutu kutumia mbinu nyingine ya kuacha kutumia mikokoteni kuchanngia foleni kama inavyoonekana pichani ulipoelemewa mzigo na kupakuliwa katikati ya barabara na kusababisha foleni kubwa.

No comments:

Post a Comment