TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 17 December 2015

Kihato akabidhi wasanii nyumba Mkuranga

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdalllah Kihato (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa SHIWATA, Michael Kagondela nyumba yake iliyojengwa na mtandao huo kwa njia ya kuchangishana katika kijiji cha Wasanii cha Mwanzega Mkuranga juzi.

No comments:

Post a Comment