Wahitimu Dkt. Didas Masaburi Chanika
Kwaya ya wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dkt. Didas Masaburi, Chanika Dar es Salaam wakiimba kwa hisia wimbo wa kuaga wanafunzi wenzao na walimu katika mahafali ya tisa ya shule hiyo yaliyofanyika mwishoni wa wiki hii shuleni hapo. Na Peter Mwenda.
No comments:
Post a Comment