TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday 23 July 2015

OG Walawala uso kwa uso na Adadi jimbo la Muheza

Na Mwandishi Wetu

BALOZI wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajab amechukua fomu kugombea Ubunge wa Jimbo la Muheza huku kijana wake, Omari Walawala naye akiingia kwenye kinyang'anyiro hicho.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Muheza, Walawala ambaye huendesha mashindano ya soka katika Kata zote za Muheza na kuyaita Walawala Cup kwa zaidi ya miaka kumi sasa ameamua kuingia katika kinyang'anyiro hicho.

Jimbo la Muheza lililokuwa likiongozwa na Bw. Mtangi limekuwa na changamoto kubwa hasa kutokana na wananchi wengi kujitokeza.

mwisho

No comments:

Post a Comment