TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 20 January 2015

ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa sherehe siku yake ya ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao Buguruni Rozana
Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi huku akiwa na keki yake
Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa



Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi

Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi

No comments:

Post a Comment