TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday 9 December 2014

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA



 Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi, wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania.
 Rais Jakaya Kikwete  akikagua gwaride.
 Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanziba, Balozi Seif Idd, baada ya kuwasili uwanjani hapo.
 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.
 Wimbo wa Taifa......
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo.
 Sehemu ya wageni waalikwa....
 Sehemu ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali, waliohudhuria sherehe hizo kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment