TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday 25 August 2014

BENDI YA MAPACHA WATATU WATOA BURUDANI NA KUPAGAWISHA WAKAZI WA ILALA

Wasanii wa bendi ya Mapacha watatu wakitoa burudani katika viwanja vya Garden Ilala bungoni Dar es salaam jana picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya Mapacha Watatu wakitoa burudani kushoto ni Josephe Bivence na Jose Mara akikunguta Drams wakati wa onesho lao
Mwimbaji wa bendi ya Mapacha watatu Khalidi Chokolaa akiimba sambamba na mmoja ya mashabiki waliojitokeza katika onesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika viwanja vya Garden Ilala Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment