TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday 4 June 2014

MKUU WA MKOA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA GEORGR TYSON LEADERS CLUB HIVI SASA

 

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga mwili wa Tyson.
Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa' (kulia) akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia.

No comments:

Post a Comment