Msako wa kukamata jezi feki za Simba
Mwenyekiti wa wadhamini wa Simba, Hamisi Kilomoni wa pili kulia akitangaza Kampuni ya Isere Sports kuuza jezi za Simba na msako umeanza kukamata jezi feki (kulia) ni Inspekta Mohamed Manyahe (katikati ni Meneja Masoko wa Isere, Abas Isere.
No comments:
Post a Comment