Mwakilishi
wa Kampuni ya Gapco ,Lightnes Samwel kulia akimkabidhi Mwendesha
pikipiki Mrema Johnson Oil ya Gapco Relsta wakati wa promosheni
inayoendelea jijini Dar es salaam Picha na |
Wasanii wa JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laMwananyamala Dar es salaam kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha nawww.burudan.blogspot.com |
Mwakilishi
wa Kampuni ya Gapco T LTD Bw.Stevin Mwakamele Akimkabidhi mmoja wa
wateja Selemani Yusufu dumu la lita tano wakati wa promosheni ya Gapco
Relstar inayoendelea katika jiji la Dar es salaam jana eneo la
Mwananyamala picha nawww.burudan.blogspot.com |
Mwakilishi
wa Kampuni ya Gapco ,Lightnes Samwel kulia akimkabidhi Mwendesha
pikipiki Mrema Johnson Oil ya Gapco Relsta wakati wa promosheni
inayoendelea jijini Dar es salaam Picha na www.burudan.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment