Airtel yatoa sare za sh. mil 50 Bagamoyo
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imegawa sare za shule
pamoja viatu katika shule ya msingi Kiromo iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehumu ya shughuli zao za kusaidia jamii.
Shule ya kiromo ni moja kati ya shule zilizofaidika na Mpango wa Shule Yetu na kuingia kwenye ukarabati wa majengo na madarasa na kubadili mazingira ya shule na kutoa vifaa vya kufundishia pamoja na Komputa, sasa Airtel imetoa Sare na viatu vya shule kwa wanafunzi wote shuleni hapo.
Meneja shughuli za kijamii Bi. Hawa Bayumi alisema Airtel imedhamiria kuendelea kuisadia shule mbalimbali kwa kutoa vifaa mbalimbali ikiwepo vya kufundishia ili kuhakikisha elimu bora inatolewa kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla.
Na leo tunaendelea kuboresha shule yetu ya Kiromo
kwa kutoa msaada wa sare na viatu kwa wanafunzi ambazo ni kaptula 600 , fulana 600 , mashati 1193 na viatu 728 vyenye dhamani ya shilingi milioni 50" alisema.
Kampuni ya simu ya Airtel imekuwa mstari wa mbele katika kuchangia sekta ya elimu hapa nchini. Tangu tulipoanza mradi wa “ shule yetu” mpango wa kusaidia vitabu na vifaa vya shule , shule mbalimbali nchini zimeshafaidika na mradi huu mpaka sasa.
Mwisho

No comments:
Post a Comment