TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Saturday, 17 November 2012

Wajumbe wa Mkutano wa 34 wa Jumuiya ya Kiafrika ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Wakipata Bidhaa za Wajasiriamali wa Zanzibar




Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Joseph Meza (katikati) kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Mzee na Rais wa AAPAM, wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 34 AAPAM uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wakiagalia bidhaa za Wajasiriamali katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort


No comments:

Post a Comment