TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Saturday, 15 September 2012

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Sophia Simba (wa tatu kushoto) akiwa amejipanga na viongozi wenzake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wakimkaribisha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dkt. Asha-Rose Migiro wa pili kulia katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Zarina Madabida (Picha na Peter Mwenda).

No comments:

Post a Comment