TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 21 May 2012

Mtaalaam wa sheria za masuala ya VVU/UKIMWI nchini Bw. Sam Komba akitoa mada katika mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari za UKIMWI yaliyoandaliwa na chama cha wanahabari za UKIMWI, AJAAT katika hoteli ya Lions, Sinza. Bw. Komba alizungumzia zaisdi kuhusu umuhimu wa kuwalinda watu walio katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU (MARPs). Picha kwa hisanai ya AJAAT

No comments:

Post a Comment