TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday 15 March 2012

Sasa nimekuwa Mwenyekiti wa ukweli BDG-Dawood

Mwenyekiti wa klabu ya Badilika Kibiashara mkoa wa Pwani, Bw. Rauf Dawood (kulia) akipokea cheti cha kufuzu mafunzo ya viongozi kutoka mikoa 25 ya Tanzania yaliyomalizika Alhamisi kwenye hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Sekta Binafsi cha Ofisi ya Wazirri Mkuu (OWM), Bw. Ezamo Maponde.

No comments:

Post a Comment