TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 15 March 2012

Msichangie mamilioni harusini biashara zetu zikifa- Maponde OWM

Mkuu wa Programu ya Sekta Binafsi katika Ofisi ya Waziri Mkuu,(PSCP),  Bw. Ezamo Maponde akifunga semina ya siku mbili ya viongozi wa Klabu za Badilika Kibiashara (BDG) kutoka mikoa 25 ya Tanzania.Katikati ni Meneja wa mradi huo, Bw.Sosthenes Sambua.

No comments:

Post a Comment